Barca wamsajili Roman wa Man City


Joan Angel Roman

Barcelona wametangaza rasmi usajili wa Joan Angel Roman aliyekuwa akiichezea Man City.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 19 anayecheza nafasi ya kiungo alijiunga na Man City miaka mitatu iliyopita akitokea Espanyol kwa ada ya paundi mill 1.

Mpaka sasa kijana huyo hajafanikiwa kuweza pata nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza na kuamua kurudi kwao Hispania (Catalunya).

Mchezaji huyo amesaini mkataba wa miaka mitatu na Barcelona na ataanza msimu ujao na Barca B (reserve).
” Kucheza kwangu Uingereza kumenisaidia sana na kunifanya  mchezaji mwenye nguvu. Niko tayari kucheza pia na kujifunza na niliposkia Barca wananitaka nkajua hiyo ndio nafasi kwangu. Nawahakikishia ntajitahidi kadri niwezavyo na kuhakikisha nafanya kila litakiwalo uwanjani” alisema Roman.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: