Barca wamsajili Alba.


Jordi Alba (kulia)

Timu ya Valencia amethibitisha ya kuwa wamekubaliana bei na Barcelona kwa ajili ya kumuuza mchezaji wao Jordi Alba.

Timu hiyo ya Catalan imekuwa ikimfuatilia beki huyo wa kushoto kwa mda mrefu sasa na hatimaye wameweza mpata.

Valencia wamesema ya kuwa makubaliano ya bei yameshafikiwa kati ya klabu hizo mbili.

Alba ambaye alikuwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake na Valencia ataihama klabu hiyo na kuhamia Barcelona baada ya mashindano ya Euro 2012.

Inasemekana Barca wamelipa kiasi cha ada ya paundi mill 14 kwa ajili ya kumpata beki huyo.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: