£25 million yatosha kumpata Jovetic waambiwa Chelsea.


Jovetic

Inasemekana klabu ya jijini London ya Chelsea ipo mbioni kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Fiorentina Stevan Jovetic.

Ingawaje mwanzo ilisemekana Chelsea walikataliwa ada yao ya paundi mill 20 walioitoa kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo, lakini habari za karibu zasema ya kuwa ada sahihi amabayo wanaweza kumpata mchezaji huyo ni £ 25mill.

Fiorentina mwanzo walikuwa hawataki kumuuza mchezaji huyo na kusema klabu zote zimtakazo mchezaji huyo zikae mbali kabisa kwa Jovetic hayupo sokoni. Lakini kwa ada kama inayotaka tolewa na Chelsea itakuwa ngumu kwa Fiorentina kuikataa.

Chanzo: Dailystar

Advertisements

Posted on June 28, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: