Tottenham kuwapokonya Liverpool Sigurdsson..?


Sigurdsson

Tottenham ndio timu inayoongoza mbio hizo za kumsajili kiungo huyo Gylfi Sigurdsson.

Mchezaji huyo mwenye asili ya Iceland ambaye msimu uliopita aliichezea klabu ya Swansea kwa mkopo anaweza akahamia klabu ya Tottenham kwa ada ya paundi mill 8 mwishoni mwa wiki hii.

Sigurdsson ameshakubaliana na timu hiyo kuhusiana na maswala ya mshahara na hivyo kupelekea uwezekano wa mchezaji huyo kujiunga na klabu ya Liverpool kuzidi kuwa finyu.

Inasemekana kocha wa Liverpool Rodgers ameudhiwa sana na uamuzi huo wa mchezaji huyo wa kuamua kujiunga na Tottenham hali ya kuwa alishaongea na kocha huyo wa Liverpool kwa kina ya kuwa angekuja kutua Liverpool.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 mwanzo ilisemekana angejiunga na Swansea moja kwa moja kwa ada ya paundi mill 6.8 lakini uhamisho huo ulikufa baada ya kocha Rodgers kuhamia Liverpool.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: