Napoli wamtaka Meireles..


Raul Meireles

Timu hiyo ya Italia (Napoli) imeongea na msemaji (agent) wa Meireles kuhusiana na uwezekano wa kumpata mchezaji huyo.

Mchezaji ambaye anachezea klabu ya Chelsea anauzwa kwa paundi ya million 8 na Napoli wapo radhi kutoa kiasi hicho ili kuweza mpata mchezaji huyo ambaye ataongeza nguvukazi katika safu ya kiungo. Napoli swala la hela kwao sio tatizo kwani wamepata hela nyingi pindi walipomuuza mchezaji wao Ezequiel Lavezzi kwa PSG ya Ufaransa.

Meirles amabaye alijiunga na Chelsea akitokea Liverpool. Ameweza isaidia timu hiyo ya Chelsea kuweza shinda kombe la Champions League. Pia ameweza kuonesha makali yake katika mashindano yanayoendelea ya Euro na timu yake ya taifa ya Euro ambako sasa wapo katika hatua ya nusu fainali dhidi ya Hispania.

Raisi wa timu ya Napoli Aurelio De Laurentiis ndiye anayemtaka mchezaji huyo aje katika timu yake na yupo tayari kufanya yote ili Mereiles ataue klabuni hapo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 amesema, “Akili yangu yote nimeielekeza katika Euro sitaki kufikiria swala jingine lolote kwa sasa”.

Chanzo: Dailymirror

Advertisements

Posted on June 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: