Man City wawataka mabeki wa Newcastle na Liverpool…


Coloccini-Agger

Man City wanawafuatilia beki wa Newcastle Fabricio Coloccini na Daniel Agger wa Liverpool ili kuziba pengo la Joleon Lescott.

Man City wanataka kufanya usajili huo ili kuweza imarisha safu ya ulinzi wa timu hiyo na kusababisha kuanzisha maswali juu ya beki Joleon Lescott.

Lescott ambaye ameisaidia timu hiyo ya Manchester kuweza kutwaa kombe la ligi msimu huu, amebakiza miaka miwili katika mkataba wake, ilisemekana maongezi ya kumuongezea mkataba mwingine yangefanyika baada ya mashindano ya Uero lakini imekuwa kinyume na kuwa pana uwezekano mkubwa beki huyo asiongezewe mkataba au hata akauzwa kabisa.

Chanzo: Talksport

Advertisements

Posted on June 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: