Fulham wamtaka Ramsey…


Ramsey (katikati)

Timu ya Fulham ya Uingereza inamtaka kiungo wa timu ya Arsenal Aaron Ramsey ili aweze ziba pengo lililoachwa na Danny Murphy.

Murphy mwenye umri wa miaka 35 ameihama klabu hiyo na kujiunga na Blackburn kwa mkataba wa miaka miwili.

Nahodha wa timu ya taifa ya Wales Aaron Ramsey mwenye umri wa miaka 21, mchezaji huyo wa Arsenal anaweza akaamua ihama klabu hiyo kutokana na ugombaniaji namba ambao utajitokeza kwani Arsene Wenger anataka kukiimarisha kikosi chake, hivyo usajili wa viungo wengine utapelekea kwa Ramsey kusugua benchi.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: