£12.1 yampeleka Giroud Arsenal…


Olivier Giroud

Raisi wa klabu ya Montpellier Louis Nicollin amesema ya kuwa mshambuliaji wao Giroud hivi karibuni atakuwa mchezaji wa Arsenal.

Akiongea na midillbre.fr Nicollin amesema, “Namtakia kila la kheri kwani ni mtu mzuri”

Nicollin pia akasema ya kuwa Arsenal wametoa paundi mill 15 kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo ambako 15 hiyo ni pamoja na hela ya kuvunjia mkataba  Giroud aliokuwa nao na Montpellier.

Giroud amekuwa na timu hiyo ya Montp.. Tokea mwaka 2010 akifanikiwa kufunga magoli 33 katika mechi 71 alizocheza. Mchezaji huyo anaurefu wa futi 6 na inch 4.

Giroud alifunga magoli 25 msimu ulioisha na kuweza kuisaidia timu yake kutwaa kombe la ligi ya Ufaransa.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 26, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: