Tottenham waongea na Blanc….


Laurent Blanc

Timu ya Tottenham inatarajia kuongea na kocha wa Ufaransa Laurent Blanc kuhusiana na kuwa kocha wao. Blanc ambaye ni kocha wa timu ya taifa ya Ufaransa jana alipokea kichapo kutoka kwa mabingwa wa dunia Hispania katika mashindano ya Euro 2012.

Kocha wa zaman wa Chelsea AVB nae anafuatiliwa na Tottenham. Mwenyekiti wa timu ya Tottenham Daniel Levy anataka kuongea na kocha huyo wa ufaransa (Blanc) mwenye umri wa miaka 46 ambaye amepata sifa kwa kuweza iongoza Bordeaux kunyakuwa ubingwa wa ligi ya ufaransa na pia akaweza isaidia timu ya Ufaransa kufanya vizuri pindi ilipokuwa ipo katika kipindi kigumu baada ya kuboronga kombe la dunia.

Swala la kumchagua kocha wa Tottenham limechelewa kwa Mwenyekiti Daniel Levy kupenda kutumia mda wake mwingi nchini Marekani bila ya kuwa na sababu maalum, lakini anatarajiwa kuweka mambo sawa wiki hii kwa kuongea na Blanc.

Chanzo: Dailymail                                                 

Advertisements

Posted on June 24, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: