Malaga wamtaka Bendtner..


 

Bendtner

Timu ya Hispania ya Malaga ndio timu ambayo inasemekana anatarajia kumchukua mchezaji wa Arsenal Nicklas Bendtner kwa ada ya paundi mill 4. Mchezaji huyo wa Arsenal ambaye alipelekwa kwa mkopo Sunderland amegoma jiunga na klabu hiyo ya Sunderland moja kwa moja.

Bendtner ambaye alikuwa akiiwakilisha timu yake ya taifa ya Denmark katika mashindano ya Euro 2012, amefanikiwa kuweza kufunga magoli mawili katika mashindano hayo. Kwa Denmark,Bendtner ni mchezaji wa kutegemewa lakini klabuni kwake Arsenal Bendtner hana namba ila anakuwa kama mchezaji wa akiba tu..

Arsenal wameweza mnunua  Lukas Podolski na huku Olivier Giroud akiwa njiani kuelekea panapo klabu hiyo ya Emirates…

Bendtner mpaka sasa ameweza cheza mechi 40 tu katika ligi hiyo ya Uingereza kwa mda wa miaka saba (7) . Kuihama klabu hiyo ya Arsenal itakuwa ni jambo la busara kwa Bentner kufanya kwani anenda katika klabu ya Malagaambayo ni tajiri na ipo katika Champions League huku yeye akiwa na uhakika wa kupata namba.

Chanzo: Caughtoffside 

Advertisements

Posted on June 24, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: