Seedorf aaga Milan..


Seedorf

Clarence Seedorf amesema ya kuwa anaihama klabu yake ya AC Milan katika kipindi hiki cha kiangazi baada ya kukaa klabuni hapo takribani miaka kumi.

Mchezaji huyo mwenye uraia wa Uholanzi alihamia AC Milan akitokea klabu ya Inter Milan mwaka 2002. Amefanikiwa kubeba kombe la Champions League mara mbili akiwa na klabu hiyo ya  Rossoneri, huku idadi ya namba ya mechi alizocheza zikiwa ni 300.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36 ameamua kuondoka klabuni hapo na kufuata nyayo za wakongwe wengine ambao wameondoka wakina Gennaro Gattuso, Alessandro Nesta, Filippo Inzaghi, Gianluca Zambrotta na Mark van Bommel.

“Namshukuru kila mtu kwa mafanikio haya nliyoyapata klabuni hapa.., ntawajulisheni kuhusiana na wapi naelekea siku za mbeleni kwani nina ofa nyingi za kutoka klabu mbalimbali” alisema Seedorf.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: