Liverpool wamtaka Borini..


Borini

Liverpool wanataka toa fedha kwa ajili ya kumnyakuwa mchezaji wa Parma ambaye alikuwa mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na Swansea, Fabio Borini.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 21 alipelekwa kwa mkopo katika klabu ya AS Roma akitokea klabu yake ya Parma, huku katika mkataba huo ukisema ya kuwa Roma wataruhusiwa kumnunua kabisa kwa paundi mill 7.

Mchezaji huyo kwa sasa yupo na timu ya Taifa ya Italia katika mashindano ya Uero 2012. Borini ameshawahi pia kuichezea klabu ya Swansea kwa mkopo akiwa chini ya kocha mpya wa Liverpool Brendan Rodgers na hivyo kupelekea uhusiano wao waliokuwa nao ndio kigezo na chachu ya Liverpool kumpata kinda huyo.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on June 22, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: