Milan wamuachia Flamini..


Mathieu Flamini

Mchezaji wa zamani wa Arsenal Mathieu Flamini alikuwa katika maongezi ya kuongeza mkataba mpya na klabu hiyo ya Milan lakini maongezi hayo yamegonga mwamba na kupelekea Milan kumuachia mchezaji huyo aondoke. Kuondoka kwake inamaanisha Flamini sasa ni mchezaji huru na anaweza jiunga na klabu yoyote itakayomtaka.

Raisi wa Klabu hiyo ya Milan amesema ya kuwa Flamini ameachiwa huru na kuwa watabidi wasajili kiungo mwingine ambaye inawezekana akawa Aquilani wa Liverpool ambaye alichezea klabu hiyo kwa mkopo msimu uliopita.

Alberto Aquilani

“Tumeshindwa fikia muafaka na Flamini na hivyo tumemuacha atafute klabu nyingine, tutasajili kiungo mpya tarehe 31 ya mwezi wa nane (8). Anaweza akawa ni Alberto Aquilani au anaweza kuwa mtu mwingine. Aquilani ni mchezaji wa Liverpool na sie hatujaongea na Liverpool bado.” alisema Adriano Galliani.

Chanzo: Skysports 

Advertisements

Posted on June 21, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: