Man City waichokoza Liverpool..


Skrtel (kulia)

Man City wantaka kumchukua mchezaji wa Liverpool Martin Sktel.

Liverpol wanajitahidi wanajitahidi kumfanya mchezaji wao huyo asaini mkataba mpya lakini kitendo cha Skrtel kutosaini mpaka sasa kinawapa Man City matumaini ya kuwa wanaweza mpaka Beki huyo.

Timu ya Anzhi Makhachkala nao pia wanamtaka mchezaji huyo wa Liverpool mwenye umri wa miaka 27. Skrtel alijiunga na Liverpool akitokea timu ya St Petersburg mwaka 2008.

Skrtel amesema ya kuwa kwa Liverpool kumaliza katika nafasi ya nane ni aibu sana ingawaje waliweza shinda kombe la Carling Cup.

“Kila mtu anajua ya kuwa msimu uliopita haukuwa mzuri kwetu na kumaliza katika nafasi ya nane ni jambo la aibu sana kwa timu kama Liverpool. Tunastahili kumaliza katika nafasi za juu na sio nafasi ya nane” Alisema Skrtel.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on June 21, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: