Collina: teknolojia ya Goal-line haifai..


Pierluigi Collina (kushoto)

Mkuu wa marefa Pierluigi Collina ametetea kuwepo kwa marefa wa ziada uwanjani ndo litakuwa swala zuri kuliko kuanzisha teknolojia hiyo ya Goal-line.

Goli la Marco Devic lililokataliwa dhidi ya Uingereza, ambako baada ya kuangaliwa tena katika television ikaonesha ya kuwa mpira ulivuka mstari na kwamba lilistahili kuwa goli bila ubishi.

goal dhahiri .

Goli hilo lisingeweza wasaidia Ukraine kuingia Robo fainali lakini refa aliyesababisha yote hayo aitwaye Viktor Kassai amerudishwa nyumbani pamoja na marefa wengine watatu.

Itakuwa ni uonevu kama Kassai atatupiwa lawama zote alisema collina na kuongeza..
“Hili lilikuwa ni kosa la kibinadamu. Tatizo la mpira kuvuka au kutovuka huwa halitokei mara kwa mara ni mara 1 katika mechi elfu 1000.”alisema Collina.

Alipoulizwa kama angependa teknolojia hiyo ianzishwe akagoma kujiingiza katika mjadala huo kwa kusema,

“Jibu rahisi la swali hilo ni kwamba uamuzi huu sio wa UEFA kuufanya. Kuna mkutano wa IFAB (intenational Association Board) tarehe 5 mwezi wa saba. Hapo ndo maamuzi yatafanyika.lakini mpaka sasa teknolojia hiyo pia siiamini kwa maana katika majaribio yake haijaonesha ufanisi wa aslimia 100 ya kuwa itakuwa sahihi”. Alisema Collina.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 21, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: