Yanga wawaita waliowekewa pingamizi


Hatimaye mwenyekiti wa uchaguzi wa klabu ya Dar es Salaam Young Africa jaji John Mkwawa imewaita wagombea wa nafasi ya mbalimbali kufika katika makao makuu ya klabuni hapo kwa ajili ya kusikiliza pingamizi walizowekewa pamoja na wale waliowawekea pingamizi hizo.

waliowekewa pingamizi ni mgombea nafasi ya mwenyekiti Yussup Manji, Sarah Ramadhani, mgombea nafasi ya makamu mwenyekiti Yonno Kevella, Clement Sanga na Ally Mayay.

Uchaguzi klabuni haho unatarajiwa kufanyika Julai 15,

Advertisements

Posted on June 20, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: