Wenger: Van Persie Haondoki


Van Persie

Kocha wa Arsenal amesema Van Persie ahtoondokana klabuni hapo kwa sababu hakuna sababu yakumfanya mchezaji wake huyo kuihama klabu hiyo ya jijini London.

Van Persie amebakiza miezi 12 tu katika mkataba wake, huku Wenger akijitahidi kuhakikisha mchezaji huyo anabakia klabuni hapo kwa kusaini mkataba mpya kabla mashindano ya Euro hayajaisha.

Makubaliano ya mkataba huo mwanzo hayakufikiwa muafaka na hii ilikuwa kabla Van Persie hajaenda katika mashindano ya Euro.

Tetesi zadai Man City wanamtaka mchezaji huyo ingawaje baba wa mchezaji huyo alishasema ya kuwa ” Kamwe haitatokea mwanae kujiunga na mahasimu wa hao wa Arsenal”

Barca na Madrid nao pia inasemekana wanamtaka mchezaji huyo lakini habari zaidi zasema Juventus ndio klabu ambayo inaweza ikafanikiwa kunyakua mchezaji huyo kama kweli ataamua kuhama.

“Atabakia Arsenal. Sioni sababu ya mchezaji mkubwa kama yeye ya kutaka kujiunga na ligi ya Italia amabayo ukiilinganisha na ligi ya Uingereza hiyo ipo chini kifedha na ki kila kitu. Nakuahidi kama atahama na kuhamia katika ligi hiyo basi nakununulieni pipi” Alisema Wenger akiwaambia waandishi wa habari.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 20, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: