Drogba atua China…


Didier Drogba .

Mchezaji wa zamani wa Chelsea Didier Drogba amesaini mkataba wa miaka miwili na nusu na klabu ya Shanghai Shenhua ya huko Uchina.

Drogba alikuwa anaofa toka kwa klabu kubwa nyingi kama Real Madrid lakini amezitosa zote na kuamua kujiunga na Shanghai ambako atakutana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Chelsea Nicolas Anelka.

Mchezaji huyo anatarajiwa kupokea paundi 200,000 kwa wiki katika klabu yake hiyo mpya.

“Leo ndio naweza thibitisha ya kuwa nimejiunga na klabu ya Uchina ya Shanghai Shenhua kwa mkataba wa miaka miwili na nusu ntaenda kujiunga na kikosi cha timu hiyo mwezi wa saba. Nimejaribu fikiria ofa zote zilizokuwepo mezani lakini Shanghai ndio nimeona pananifaa” . Alisema Drogba

Drogba anajiunga na klabu hiyo huku akijiandaa kuwavaa Man Utd tarehe 25 ya mwezi wa saba pindi watakapo kwenda tembelea China.

Chanzo: Dailymail  

Advertisements

Posted on June 20, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: