Diame ajiunga na wabeba nyundo (West Ham)..


Mohamed Diame .

West Ham wamefanikiwa kufanya usajili wao watatu katika kipindi hiki cha usajili kwa kumsajili kiungo aliyekuwa akichezea  Wigan Mohamed Diame kwa mkataba wa miaka mitatu.

Mchezaji huyo alipimwa kwanza vipimo vya moyo kabla hajaruhusiwa kujiunga rasmi na klabu hiyo ya wapiga nyundo.

” Ana uwezo mzuri akiwa kiwanjani na yupo tayari kugombania nafasi katika timu, huku akiwa tayari anauzoefu wa ligi hii ya Uingereza baada ya kuicheza kwa mda wa miaka mitatu. Bado ni kijana mdogo ndo kwanza ana miaka 25. Natarajia ataonesha mambo ya kuridhisha na kufurahisha kwangu na kwa mashabiki wa West Ham”. Alisema Allardyce (kocha wa West Ham)

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 20, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: