Blatter: teknolojia ya Goal-line muhimu..


goal dhahiri .

Kiongozi wa Fifa Sepp Blatter anataka teknolojia ya kuonyesha mpira kama umevuka mstari ianzishwe baada ya kuona ni jinsi gani Ukraine walivyodhulumiwa goli lao katika mechi dhidi ya Uingereza.

Waandaaji hao wa mashindano hayo ya Uero (Ukraine) walijikuta wakimyimwa goli lao la kusawazisha jana na kuwafanya kutolewa katika mashindano hayo.

goal dhahiri

John Terry aliokoa mpira ambao ulikuwa tayari umeshavuka mstari na kumfanya Marko Devic akibakia akishangaa kwa kunyimwa goli lake hilo. Kupitia video ilionekana kuwa nidhahiri mpira ulivuka mstari.

Raisi wa FiFa Sepp Blatter alisema, “Baaday ya kuona yaliotokea jana GLT (teknolojia hiyo) ni lazima ianzishwe haraka iwezekanavyo”.

Blatter anataka kuongea na wapangaji sheria wa mpira (International Football (ssociation Board) ili waweze ruhusu teknolojia hiyo ianzishwe mapema iwezekanvyo.

Blatter alianza kulilia teknolojia hii ianzishwe tokea Lampard aliponyimwa goli lake katika mashindano ya kombe la dunia dhidi ya Ujerumani. Lakini hiyo haikuwa sababu tosha ya kuweza mshawishi Raisi wa UEFA Michel Platinikuruhusu teknlojia hiyo kupitishwa.

goal

Rooney nae jana alifanikiwa funga goli lake la kwanza baada ya miaka nane katika mashindano makubwa kwa England. Alipofunga goli hilo alishangalia kwa kuonyesha ishara ya kupaka mafuta nywele.., “Nimetumia mafuta ya Andy Caroll ya nywele na aliniambia nkifunga basi nshangilie kama najipaka mafuta vile.. Labda naweza nkaja ota nywele ndefu kama zake” alisema Rooney.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 20, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: