Walcott benchi huku Rooney akirudi dimbani..


wayne rooney arudi

Roy Hodgson ameamua kumuweka benchi tena Walcott pamoja na kuweza kuwaokoa Uingereza pindi alipoingia akitokea benchi katika mechi dhidi ya Sweden. Milner ataendelea kucheza nafasi hiyo kama winga wa kulia huku Wayne Rooney akirudi uwanjani baada ya kumaliza kifungo chake.

Uingereza wanahitaji droo tu leo ili kuweza vuka na kuingia Robo fainali ambako watakutana na Hispania au Italia.

Timu ya Uingereza ya leo:
Hart,Johnson,Terry,Lescott,Cole,Milner, Gerrard, Parker, Young, Rooney, Welbeck.

Advertisements

Posted on June 19, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: