Malaga wamtaka Berbatov..


Berbatov

Mchezaji wa Manchester United Berbatov hatimaye anaweza jinusuru na ukaaji benchi baada ya timu ya kitajiri ya Malaga inayomilikiwa na Qatar Sheikh kuonesha nia ya kumsajili mshambuliaji huyo kwa ajili ya kujiimarisha katika safu yao ya mashambulizi.

Berbatov mwenye umri wa miaka 31 anapatikana kwa bei ya chini na huku mwenyewe akikubali kwa kusema ya kuwa hana nafasi katika timu ya Man Utd na anataka kuondoka.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 19, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: