Chelsea wamtaka Moses..


Moses

Timu ya chelsea ipo tayari kutoa paundi mill 10 kwa ajili ya kumpata mchezaji wa Wigan Victor Moses.

Mchezaji huyo wa zamani wa Crystal Palace ambaye kwa sasa yupo na timu yake ya taifa ya Nigeria. Moses ameisaidia timu yake ya Wigan msimu huu ulioisha kiasi cha kuweza kuizuia timu hiyo kushuka daraja na kudhihirisha ya kuwa uwezo wake aliokuwa nao inafaa aende klabu kubwa ambazo zitamfanya aweze cheza mashindano makubwa kama ya Uefa.

Pamoja na kuisaidi Wigan lakini Moses amekataa kusaini mkataba mpya na timu hiyo na hivyo kupelekea Chelsea kujiandaa  tayari kwa ajili ya kumnyakua.

Kocha wa Wigan Martinez amesema hataki kumuuza mchezaji huyo lakini mwenyekiti wa Wigan Dave Whelan amesema kama ofa kubwa ikija basi itakuwa vigumu kuikataa.

Kusajiliwa kwa Moses inamaanisha ndo itakuwa mwisho wa Daniel Sturridge ambaye amekuwa sio chaguo la kwanza la kocha Di Matteo.

Chanzo: Dailymirror

Advertisements

Posted on June 19, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: