Arsenal wamsajili Giroud…


Olivier Giroud

Klabu ya jijini London ya Arsenal imekamilisha usajili wa mchezaji Olivier Giroud wa Ufaransa anayechezea klabu ya Montpellier.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 amesajili na Arsenal kwa ada ya paundi mill 12.8 huku mshahara wake ukiwa ni paundi 45,000 kwa wiki. Mkataba huo unasemekana ni wa miaka minne na kuwa kusajiliwa kwa mchezaji huyo kwa ajili ya kuchukua nafasi ya Chamakh badala ya Van Persie kama ilivyodhaniwa awali.

Arsenal bado wanahangaika kujaribu kumfanya nahodha wao Van Persie aweze saini mkataba mpya. Wanataka asaini mkataba wa miaka mitatu ambao utamfanya apokee paundi 130,000 kwa wiki na vilevile watampa nyiongeza (bonus) ya paundi mill 5, lakini mpaka sasa mkataba huo bado haueleweki kama utafikiwa muafaka.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 19, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: