Babel atemwa Hoffenheim..


Ryan Babel

Mshambuliaji wa zaman wa Liverpool ameambiwa na klabu yake ya sasa (hoffenheim) ya kuwa atafute klabu ya kuhamia katika kipindi hiki cha kiangazi.

Mchezaji huyo toka Uholanzi alijiunga na timu hiyo ya Ujerumani mwaka 2011 akitokea Liverpool. Amekuwa na wakati mgumu katika ligi hiyo ya Bundesliga kutokana na kutoweza cheza katika kiwango alichokuwa akitegemewa angecheza. Kocha wa timu hiyo Markus Babel amesema ya kuwa mchezaji huyo yupo sokoni kwa klabu yoyote itakayo muhitaji.

“Nimewaambia (Babel na Edson) ya kuwa sisi hoffenheim tupo tayari kuongea na klabu yoyote itakayo kuwa tayari kuwanunua. Lakini mpaka sasa bado hatujapata ofa” Alisema Kocha wa Hoffenheim.

Chanzo: Goal.com

Advertisements

Posted on June 18, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: