Aquilani kutolewa kwa mkopo TENAA….!!!


Alberto Aquilani

Kiungo wa timu ya Liverpool Alberto Aquilani yupo njia panda tena baada ya habari ya kuwa timu yake ya Liverpool yataka mtoa kwa mkopo tena panapo klabu ya AC Milan ili kurahisisha mchezaji huyo kununulia moja kwa moja na Klabu hiyo ya Italia.

Mchezaji huyo ambaye msimu uliopita alikuwa kwa mkopo katika klabu hiyo ya Milan ambako mkataba wa mkopo huo, ulisema kama akicheza mechi 25 klabuni hapo basi Milan wapaswa kumnunua moja kwa moja, lakini mpaka sasa mkataba huo haujaafikiwa kwani mechi alizocheza Aquilani hazikufika 25.

Mchezaji huyo amerudi Liverpool kwa sasa lakini hataki endelea kaa klabuni hapo na anataka afanye kila liwezekanalo arudi kwao Italia, huku tetesi zaidi zasema anataka kuuvunja mkataba aliokuwa nao na Liverpool kwa kutoa hela zake mwenyewe ili aweze ondoka klabuni hapo.

Hata hivyo habari toka Sky Sport Italia zasema ya kuwa mchezaji huyo anataka kurudishwa tena Milan kwa mkopo ili baadae waweze mnunua kabisa.

Chanzo: caughtoffside

Advertisements

Posted on June 18, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: