M’vila aitaka Arsenal.


M’villa

Kiungo wa timu ya Rennes Yann M’vila anategemewa kuondoka klabuni hapo pindi mashindano ya Euro yatakapo malizika.

Mchezaji huyo amekuwa kifuatiliwa kwa karibu na kocha wa Arsenal ,Arsene Wenger.

Mchezaji huyo mpaka kumpata Arsenal inawabidi watoe paundi mill17 na mchezaji mwenyewe yupo tayari kujiunga na klabu hiyo.

“Nimeskia Arsenal wananitaka. Naipenda klabu hiyo na ningependa kucheza katika ligi ya Uingereza. Sijui mazungumzo yanaedeleaje lakini ningependa sana kwenda cheza Uingereza na hasahasa Arsenal” alisema M’vila.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 17, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: