AVB awa kocha Tottenham..


AVB

Habari kutoka gazeti la “Gazetta dello Sport” zasema ya kuwa Villas-Boas amekubali kuwa kocha wa timu ya Tottenham kwa mkataba wa miaka mitatu. Kocha huyo mwenye asili ya Ureno alifukuzwa na Chelsea baada tu ya miezi tisa tangia ajiunge na klabu hiyo ya Chelsea.

Mwenyekiti wa klabu ya Totenham Daniel Levy aliamua kumfukuza Redknapp baada ya kocha huyo kuifelisha timu hiyo kukos mashindano ya Champions League inagawaje walimaliza katika nafasi ya nne.

Redknapp ndio aliyekuwa akitegemewa kuwa kocha atakaye chukua mikoba ya Fabio Capello kama kocha wa timu ya taifa ya Uingereza lakini matokeo yake nafasi hiyo akapewa Roy Hodgson na kitendo cha Redknapp kuweka mawazo yake sana kuhusiana na ukocha wa timu ya taifa ndicho kilichopelekea klabu hiyo kutofanya vyema na matokeo yake kukosa nafasi ya kucheza Champions League.

Chanzo: Caughtoffside.

Advertisements

Posted on June 17, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: