Nelsen ajiunga na QPR.


Ryan Nelsen

Beki mkongwe Ryan Nelsen amethibitisha ya kuwa amejiunga na klabu ya QPR kwa mkataba wa mwaka mmoja baada ya kufaulu vupimo.

Mchezaji huyo anajiunga na QPR akitokea timu ya Tottenham Hotspurs.

Nelsen alimecheza mechi nane (8) tangia alipojiunga na klabu ya Spurs skitokea Blackburn na sasa kwenda kwake QPR kutamkutanisha tena na kocha wake wa zamani Mark Hughes.

Mchezaji huyo wa New Zealand alisajiliwa na kujiunga na Blackburn akitokea klabu ya DC United na kocha Hughes katika msimu wa 2004/05 na akafanikiwa kucheza mechi 200 katika klabu hiyo ya blackburn.

Amesema nafasi ya kucheza chini ya Hughes ilikuwa ngumu kuikataa na anatarajia atatoa mchango wake katika klabu hiyo ya QPR msimu ujao.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: