Michael Owen ajiunga na Stoke..


Michael Owen

Michael Owen ameamua kujiunga na timu ya Stoke City ingawaje Everton nao walikuwa wanamuhitaji.

Owen ambaye sasa ni mchezaji huru baada ya kuachiliwa na Man Utd. Amekuwa akisumbuliwa na majeraha karibia msimu mzima uliopita .

Mchezaji huyo ameweza fanikiwa kucheza mechi kumi tu msimu uliopita lakini bado Stoke na Everton zimemfuatilia.

Owen ameamua kujiunga na Stoke na kuiacha Everton kutokana na uadui uliopo kati ya Eveton na Man Utd. Hii ni kutokana na kuwa yeye alishawahi ichezea klabu ya Liverpool zamani.

Chanzo: Express 

http://www.express.co.uk/posts/view/326802/Michael-Owen-to-join-Stoke-despite-Everton-interest

Advertisements

Posted on June 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: