Manchester United wamfuatilia Thiago wa Barcelona.


Thiago Alcantara

Man Utd wanamfuatilia kwa karibu kiungo wa timu ya Barcelona Thiago Alcantara na huku pia wakiangalia uwezekano wa kumchukua pia na Modric.

Thiago amekuwa hana raha katika kikosi cha Barca kutokana na kukosa namba. Amekuwa akisugua benchi na nafasi yake kuchukuliwa na wachezaji kama Xavi na Fabregas.

Kuondoka kwa Guardiola kumempelekea kiungo huyo kufikiria mara mbili maisha yake ya hapo Nou Camp na kupelekea uwezekano wa kuihama klabu hiyo.

AC Milan nao pia wanamfuatilia kiungo huyo ambaye inasemekana anapatikana kwa ada ya paundi mill 21.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: