Malaga wamtaka Robinho.


Robinho

Timu tajiri ya Malaga inasemekana inamtaka mshambuliaji wa timu ya AC Milan Robinho.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28 anahusishwa na kuihama AC Milan kutokana na kutocheza katika kiwango alichotarajiwa na matokeo yake kuweza kufunga magoli sita (6) tu katika msimu uliopita.

Na timu ambayo inasemekana inamtaka sana ni Malaga. Msemaji wa mchezaji huyo Juan Figer alisema, “Ni kweli Malaga wanamtaka Robinho lakini sidhani kama wataweza kumlipa mchezaji wa kiwango chake. Kurudi Brazil pia inawezekana kwa maana katika mpira chochote kinaweza tokea, kwa hiyo tusubiri Milan wataamua vipi”.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: