Liverpool watoa £6.5m kwa ajili ya Garcia.


Raul Garcia

Liverpool wanamtaka kiungo wa Atletico ambaye amekuwa akipata maisha magumu klabuni hapo.

Inasemekana Liverpool wapo tayari kutoa paundi milioni 6.5 kwa ajili ya kiungo huyo Raul Garcia wa klabu ya Atletico.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 alinunuliwa kwa ada ya paundi mill 9 na klabu ya Atletico akitokea klabu ya Osasuna miaka mitano iliyopita lakini ataruhusiwa kuondoka baada ya kutokuwepo katika mipango ya kocha Diego Simeone wa klabu hiyo ya Atletico.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: