Joe Cole apewa nafasi…


Joe Cole

Joe Cole atapewa nafasi ya kuonyesha ya  kuwa anastahili kuvaa jezi ya Liverpool na kocha mpya Brendan Rodgers.

Kiungo huyo ambaye amefanya vizuri pindi alipotolewa kwa mkopo katika klabu ya Lille ya Ufaransa, anatarajiwa pewa nafasi na kocha huyo mpya wa Liverpool ili aweze mshawishi kocha huyo ya kuwa anastahili kuwepo katika timu hiyo.

Cole ameicheze Lille mechi 42 na kufanikiwa kufunga magoli 9.

Brendan Rodgers

“Nimekutana na Joe cole pindi nlipokuwa Spain. Ana shauku ya kurudi Liverpool na mie ntamuangalia kila mchezaji na kufanya uamuzi mwishoni. Mchezaji kama Joe ni mchezaji mwenye kipaji sana. Ameweza kwenda Lille na akafanya vyema sana na anayo nafasi ya kurudi hapa Liverpool na kuonyesha uwezo wake kwani mie ntampa kila mchezaji mwanzo mpya. Nawajua wachezaji wengi tayari ambao wapo hapa na vipaji walivyo navyo ila ntaangalia kupitia mechi za maandalizi ya msimu ujaoa na kujua ni wachezaji wepi watanifaa na kuweza kuendana na mfumo wangu wa uchezaji. Mie na Kenny ni watu wawili tofauti na wenye mifumo tofauti”

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: