Gattuso ajiunga na Sion.


Gennaro Gattuso

Mchezaji wa zamani wa AC Milan Gennaro Gattuso amesaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya FC Sion iliopo nchini Switzerland.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34, ameondoka San Siro baada ya kukaa klabuni hapo kwa takribani miaka 13.

Gattuso ametangazwa kama mchezaji wa Sion katika mkutano na waandishi wa habari na Gattuso akasema ya kuwa fedha sio sababu ya kujiunga na klabu hiyo.

“Fedha sio swala lililonileta hapa. Ila mojawapo ya sababu nliochagua kujiunga na Sion ni kwasababu ntakuwa karibu na nyumbani. Nimekuja Sion kushinda mataji na kuweza wapiku FC Basel.” alisema Gattuso.

Mkurugenzi wa mpira wa klabu hiyo ya Sion ameahidi pia kumleta muitaliano mwingine klabuni hapo ambaye ni Alessandro Del Piero.

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. 1 Comment.

  1. Very interesting information!Perfect just what I was searching for!

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: