Arsenal wamtaka Joselu wa Madrid..


Joselu

Arsenal ndio klabu inayoongoza mbio za kumsajili mchezaji wa Real Madrid Joselu.

Joselu mwenye umri wa miaka 22 amekuwa aking’ara na timu ya Real Madrid B na ni mchezaji anayeongoza kwa magoli mengi msimu ulioisha. Lakini pamoja na hayo yote hajafanikiwa kuitwa katika timu ya wakubwa mpaka sasa.

Jose Mourinho haoneshi dalili yoyote ya kumpa nafasi kijana huyo ya kucheza na wakubwa na kusababisha uwezekano wa kuhama kwa kijana huyo kuelekea timu nyingine.

Arsenal wanamfukuzia kijana huyo ambaye bila shaka akitua Emirates chini ya Uongozi wa mzee Wenger basi atakuja kuwa mchezaj hatari kuliko hata van Persie.

Chanzo: Talksport 

Advertisements

Posted on June 16, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: