Kilimanjaro taifa stars waelekea msumbiji


Timu ya soka ya taifa “Kilimanjaro taifa star” alfajiri ya leo wamekwea pipa kuelekea nchini Msumbiji kwa mchezo wa marudiano wa kuwania kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika. Katika mchezo wa awali uliochezwa jijin Dar es salaam timu hizo zilitoshana nguvu kwa kutoka sare ya bao 1-1. Star inaondoka ikiwa na matumaini makubwa ya ushindi kufuatia ushindi wake wa wiki iliyopita ambapo walifanikiwa kuifurusha Gambia kwa mabao mawili dhidi ya moja la wapinzani wao.

Advertisements

Posted on June 15, 2012, in Mpira. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: