Modric kumfuata Redknapp..


Corluka (katikati) na Modric (kulia)

Vedran Corluka hategemei mchezaji mwenzake wa Tottenham Luka Modric kama atabakia klabuni hapo msimu ujao.

Corluka ambaye msimu ulioisha alipelekwa kwa mkopo katika timu ya Bayern Leverkusen anaamini ya kuwa Modric ataihama timu hiyo kutokana na timu hiyo kutoshiriki Champions League msimu ujao.

Kuondoka kwa Redknapp pia kutachangia kwa kiwango kikubwa kuondoka kwa mchezaji huyo klabuni hapo.

“Ni dhahiri itakuwa ngumu kwa Spurs kumzuia Modric kuondoka kutokana na kuwa Klabu hiyo haitoshiriki mashindano ya Champions League msimu ujao. Luka ni miongoni mwa wachezaji bora duniani na anastahili kucheza katika mashindano makubwa kama Champions League” alisema Corluka.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 14, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: