Liverpool wamtaka Krasic..


Milos Krasic

Klabu ya Liverpool inamfuatilia kwa karibu mchezaji Milos Krasic ambaye anauzwa kwa ada ya paundi mill 6.

Mchezaji huyo mwenye asili ya Serbia ambaye anaichezea Klabu ya Juventus, anampango wa kuihama klabu hiyo msimuu baada ya kutopata nafasi za kucheza katika msimu uliopita ambako alifanikiwa kucheza mechi saba tu msimu mzima.

Timu nyingine ambazo zinamfuatilia mchezaji huyo kwa karibu ni Man Utd na Tottenham.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 14, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: