Chelsea kumtaka mchawi wa Newcastle..


Hatem Ben Arfa (katikati)

Bosi wa timu ya Chelsea ya jijini London ameamua kutenga kitita kwa ajili ya kumnyakuwa mchezaji Hatem Ben Arfa wa timu ya Newcastle.

Bosi huyo wa Chelsea amemteua Roberto Di Matteo kuwa kocha wa Timu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili.

Chelsea tayari wameshawanunua Marko Marin na Eden Hazard kwa ajili ya kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji na Ben Arfa nae yuko mbioni kujiunga klabuni hapo.

Chelsea tayari wameshaenda kwa Newcastle kwa ajili ya kufanya maongezi ya kumpata mchezaji huyo na wako tayari kutoa paundi millioni 18 ingawaje Newcastle wanataka mill.26

Ben Arfa alinunuliwa kwa ada ya paundi mill 5 kutokea klabu ya Marseilles mwaka 2010. Amebakiza miaka mitatu katika mkataba wake na itakuwa ni ngumu kidogo kwa Newcastle kuweza kukubali kumuachia mchezaji huyo.

Chanzo: Dailymail 

Advertisements

Posted on June 14, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: