Evra akasirisha na England


Evra: Ilikuwa ngumu kupata nafasi kwa Steven Gerrard

‘Ni kama kulikuwa na watu 15 pale uwanjani’, Alisema mlinzi huyo wa Ufaransa

Evra amewafananisha vijana hao wa Hodgson na wale wa Chelsea waliowabwaga Barcelona katika nusu fainali za UEFA.

Evra alisema, ‘Nimekasirishwa kwasababu tulicheza vizuri lakini tumeambulia sare’.

‘Ilikuwa kama kuna watu 15 na tulishindwa kabisa kupata nafasi’.

‘Nadhani wamecheza kama Chelsea ilivyocheza na Barcelona’.

‘Watu wanacheka, Labda wanataka Uingereza waendelee kucheza zaidi, lakini mwisho wakishinda kwa kucheza vile, watakuwa na furaha’.

Chanzo: SkySport

Advertisements

Posted on June 12, 2012, in Mpira kwa Dakika. Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: