Balotelli: Sitavumilia kitendo chochote cha kibaguzi


Balotelli

Mwakilishi wa Balotelli ameshutumu juu ya maoni ya raisi wa UEFA Michael Platini, kutokana na kauli ya Balotelli ya kutovumilia kitendo chochote cha ubaguzi katika mashindano ya UERO 2012..

Balotelli amesema kabisa kabla ya mashindano haya kuanza kuwa hatavumilia kitendo chochote cha kibaguzi na Platini amemuunga mkono na kusema inahitajika nguvu kubwa hasa Poland na Ukarine.

Hata hivyo Platini amesisitiza kuwa uamuzi wa kusimamisha mechi ni wa refa kama tatizo lolote litatokea. ‘Sio mchezaji, Bwana Balotelli mwenye dhamana ya maamuzi’.

Platini pia aliongeza kuwa mchezaji yeyote atayetoka uwanjani atapewa kadi ya njano, na mwakilishi wa Balotelli hakuridhishwa na msaada huo hafifu unaotolewa.

Mino Raiola alisema, ‘Ninaweza kusema walichofanya UEFA kutokana na alichosema Balotelli ni cha ajabu na nilitegemea kitu tofauti’.

‘Mario amekuwa na tatizo hili hapo kabla na Italia tuna msemo, ubaguzi ni Ujinga’.

‘Siamini kama Platini hajafanya lolote kurekebisha mchezo au kuwasaidia wachezaji’.

Alisema ‘Nilifanya vikao na FA na wamelifanyia kazi. Wanaongoza nchi zote za Ulaya’.

Advertisements

Posted on June 12, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: