Newcastle yamtaka Anita..


Vurnon Anita

Timu ya ligi ya Uingereza ya Newcastle imetoa fedha kwa Ajax kwa ajili ya kumpata mchezaji Vurnon Anita.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 ambaye anaweza cheza kama beki wa pembeni na kama kiungo mkabaji, anafuatiliwa na newcastle na kuna uwezekano akatua klabuni hapo.

Msemaji wa mchezaji huyo, Harry Lulofs alisema, “Ajax wanamtegemea sana mchezaji huyo na wangependa mbakiza klabuni hapo lakini Newcastle wamekuwa wakimfuatilia kwa mda sasa na wanamuhitaji. Ofa toka kwa Newcastle ndo ya kwanza Ajax waliyowahi ipokea kuhusu mchezaji huyo kwa hiyo tusubiri uamuzi wao tuone”

Chanzo: Thesun

Advertisements

Posted on June 11, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: