Liverpool wamtaka Sturridge.


Brendan Rodgers

Kocha mpya wa Liverpool Brendan Rodgers anamfuatili mshambuliaji wa Chelsea Daniel Sturridge.

Kocha huyo wa Liverpool anahitajika kuziba pengo lililoachwa na Dirk Kuyt na yupo tayari kutoa kitita cha paundi mill 15 kwa ajili ya kumpata mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22.

Chanzo: Dailystar

Advertisements

Posted on June 11, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: