Di Matteo apewa ukocha Chelsea.


Roberto Di Matteo

Roberto di Matteo anakaribia kusaini mkataba ambao utamfanya awe Kocha wa Chelsea.

Mabingwa hao wa Europe wamemtaka Di Matteo kubakia kuwa kocha wao baada ya kocha huyo kuisaidia timu hiyo kutwaa kombe la Champions League na FA Cup.

Chelsea

Makubaliano ya mkataba yamekamilika na mkataba huo utakuwa ni wa zaidi ya mwaka mmoja.

Jumapili pande zote mbili (chelsea n matteo) walikuwa wanakaribia fikia muafaka wa mkataba ili baada ya masaa 48 kocha huyo atangazwe rasmi.

Bosi wa Chelsea Roman Abramovich hatimaye amesikiliza kilio cha wachezaji wake cha kumtaka Di Matteo abakizwe kama Kocha.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 11, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: