Tottenham wakaribia msajili Remy.


Remy

Timu ya Uingereza Tottenham ya jijini London ipo mbioni kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa timu ya Marseille Loic Remy kwa ada ya paundi mill 16.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25 amekuwa akifuatiliwa kwa karibu sana na kocha wa Tottenham Harry Redknapp na inasemekana Marseille wanamuuza mchezaji huyo kutoka na kuyumba kiuchumi kwa Klabu hiyo.

Kipindi cha nyuma Harry alimkosa mchezaji huyo lakini sasa kwa paundi hizo za mill 16 kunauwezekano mkubwa akampata mchezaji huyo aliyekuwa akimfuatilia kwa mda mrefu.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: