Man utd wakubaliana na Borussia Dortmund


The Pair

Man utd wamefikia makubaliano na Klabu ya Ujerumani Borussia Dortmund kuhusiana usajili wa mshambuliaji Robert Lewandowski.

Lewandowski

Habari zaidi zasema ya kuwa United wamekubali kutoa paundi mill 16 kwa ajili ya mshambuliaji huyo na ukamilisho wa kumuhamisha mchezaji huyo utakamilika baada ya mashindano ya UERO.

Mchezaji huyo inasemekana atakuwa akipokea mshahara wa paundi 70,000 kwa wiki.

Shinji Kagawa

Mchezaji huyo toka Poland atajiunga na mchezaji mwenzake aliyekuwa nae Dortmund Shinji Kagawa. Kagawa amejiunga na United kwa ada ya paundi mill 16.

Chanzo: Caughtoffside

Advertisements

Posted on June 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: