Lavezzi auzwa Napoli.


Lavezzi

Raisi wa klabu ya Napoli Aurelio De Laurentiis amethibitisha ya kuwa klabu yake imefikia makubaliano kumuuza Ezequiel Lavezzi kwa klabu ya Ufaransa ya Paris Saint German.

PSG wanatarajiwa kutumia zaidi ya paundi mill 25 kwa ajili ya kumsajili mchezaji huyo.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 amefuatiliwa na klabu nyingi sana lakini PSG ndo wamefanikiwa kumnyakuwa mchezaji huyo ambaye ameichezea Napoli tokea 2007.

“Kuna uvumi unaosemekana kuwa tumemuuza kwa paundi mill 31 lakini ukweli ni kuwa uhamisho huu bado ni siri. Siwezi kusema kiasi chenyewe kabisa lakini ukweli utajulikana wiki ijayo”. Alisema De Laurentiis

Chanzo: Skysports

Advertisements

Posted on June 10, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: