Pogba aaga Man Utd.


Paul Pogba

Paul Pogba ametuma ujumbe (barua) kwa wachezaji wenzake wa Man Utd kwa dhumuni la kuwaaga huku akisubiria usajili wake wa kujiunga na Juventus  kutangazwa rasmi.

Pogba anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka minne katika Klabu yake hiyo ya Ufaransa ifikapo tarehe 1 ya mwezi wa sita, hii ni baada ya kukataa kusaini mkataba mpya na Man Utd.

Kiungo huyo ambaye anaenda jiunga na miamba hiyo wa Italia amegoma kutoa maelezo yoyote mpaka mkataba wake utakapoisha na Man Utd mwisho wa mwezi ujao.

Pogba atakuwa anapokea mshahara wa paundi 20,000 kwa wiki pindi atakapojiunga na Juve.

Uamuzi wa mchezaji huyo kujiunga na Juve ulijulikana kupitia mawasiliano kati ya muongeaji wa mchezaji huyo Mino Raiola na chief executive wa Man Utd David Gill lakini hapajakuwa na mawasiliano kati ya mchezaji huyo na meneja wake Sir Alex Ferguson..

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 9, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: