Man Utd wamsajili Powell.


Powell

Manchester United wametoa paundi millioni 4 kwa ajili ya kumpata kiungo mshambuliaji Nick Powell mwenye umri wa miaka 18 achezeae klabu ya Crewe.

Powell alifunga goli ambalo liliisaidia timu yake kushinda katika fainali ya ligi daraja la pili (League Two play-off final) dhidi ya Cheltenham.

Manchester wamekuwa wakimfuatilia mchezaji huyo na sasa wako mbioni kumpata. Tetesi zaidi zasema kiungo huyo tayari ameshatua United na kiasi kilichotolewa ni paundi mil 2 na kiasi kingine kitatolewa kulingana na idadi ya mechi mchezaji huyo atakazocheza.

Kuna uwezekano mkubwa mchezaji huyo akarudishwa katika klabu hiyo ya Crewe kwa mkopo ili aweze pata uzoefu zaidi.

Chanzo: Dailymail

Advertisements

Posted on June 9, 2012, in Mpira, Mpira kwa Dakika, Tetesi and tagged , , . Bookmark the permalink. Leave a comment.

Comment

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: